Maandiko Matakatifu
Maandiko Matakatifu yaani Agano la Kale na Jipya ndiyo neno la Mungu lililoandikwa likatolewa kwa uvuvio wa Mungu, kupitia kwa watu watakatifu wa Mungu walionena na kuandika kama walivyoong…
Soma zaidiKaribu ujifunze imani 28 za msingi zinazofundishwa na Kanisa la Waadventista Wasabato, zikiwa zimejengwa juu ya Maandiko Matakatifu na ushuhuda wa Biblia.
Kila kipengele kina maelezo yake na mafungu ya Biblia yanayosaidia kuelewa msingi wa fundisho hilo.
Imani hizi hazikusudiwi kuchukua nafasi ya Biblia, bali zinaonyesha kwa muhtasari mafundisho ambayo Waadventista Wasabato wanayaamini kutokana na Maandiko Matakatifu.
Maandiko Matakatifu yaani Agano la Kale na Jipya ndiyo neno la Mungu lililoandikwa likatolewa kwa uvuvio wa Mungu, kupitia kwa watu watakatifu wa Mungu walionena na kuandika kama walivyoong…
Soma zaidiKuna Mungu mmoja: Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, umoja wa Nafsi tatu za milele. Mungu hapatikani na mauti, mwenye nguvu zote, ajuaye yote, zaidi ya yote, na aliyeko daima. Yeye hana mwisho…
Soma zaidiMungu Baba wa milele ndiye Muumbaji, chimbuko, Mtegemezaji, na Mfalme wa viumbe wote. Ni mwenye haki na Mtakatifu, mwingi wa rehema, mwenye fadhili, si mwepesi wa hsira, ni mwingi wa uthabi…
Soma zaidiMungu Mwana wa milele alifanyika mwili katika Yesu Kristo. Kupitia kwake vitu vyote viliumbwa, tabia ya Mungu imefunuliwa, wokovu wa wanadamu unakamilishwa na ulimwengu unahukumiwa. Milele …
Soma zaidiMungu Roho wa milele alikuwa mtendaji pamoja na Baba na Mwana katika uumbaji, kufanyika mwili, na katika ukombozi. Aliwavuvia waandishi wa Maandiko Matakatifu, alijaza maisha ya Kristo na u…
Soma zaidiMungu ni Muumba wa vitu vyote, na amefunua katika Maandiko uhalisi wa tukio la shughuli zake za uumbaji. Katika siku sita Bwana alizifanya “mbingu na nchi” na vitu vyote vilivyo hai juu ya …
Soma zaidiMwanamume na Mwanamke walifanywa kwa mfano wa Mungu wakiwa kila mmoja na nafsi yake, uwezo na uhuru wa kufikiri na kutenda. Ingawa waliumbwa viumbe huru, kila mmoja ni umoja wa nafsi isiyog…
Soma zaidiJamii yote ya wanadamu sasa inahusika katika pambano kuu baina ya Kristo na Shetani kuhusu tabia ya Mungu, sheria yake, na utawala wake juu ya ulimwengu. Ugonvi huu ulianza mbinguni wakati …
Soma zaidiKatika maisha ya Kristo ya utii mkamilifu kwa mapenzi ya Mungu, mateso yake, mauti na ufufuo, Mungu alitoa njia pekee ya kafara kwa ajili ya dhambi ya mwanadamu, ili kwamba wale ambao kwa i…
Soma zaidiKatika upendo usio na mwisho na rehema zake Mungu alimfanya Kristo, asiyejua dhambi kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili kwamba katika yeye tuweze kufanywa haki ya Mungu. Tukiongozwa na Roho Mta…
Soma zaidiKwa kifo chake msalabani Yesu alizishinda nguvu za uovu. Yeye aliyewatiisha pepo wachafu wakati wa huduma yake hapa duniani amezivunja nguvu zao na kuthibitisha kuwa mwisho wao ni uangamivu…
Soma zaidiKanisa ni jamii ya waumini wanaimkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wao. Katika kufungamana na watu wa Mungu katika nyakati za Agano la kale, tunaitwa kutoka katika ulimwengu; na tunaji…
Soma zaidiKanisa la ulimwengu linajumuisha wale wote ambao kwa kweli wanamwamini Kristo, lakini katika siku za mwisho, kipindi cha kuenea kwa ukengeufu, masalio wameitwa kuzishika amri za Mungu na im…
Soma zaidiKanisa ni mwili mmoja ulio na washiriki wengi, walioitwa kutoka kila taifa, kabila, lugha, na watu. Katika Kristo tu viumbe wapya; ubainishi wa rangi, tamaduni, elimu, na taifa, na tofauti …
Soma zaidiKwa njia ya ubatizo tunakiri imani yetu katika kifo na ufufuo wa Yesu Kristo, na kushuhudia kufia kwetu dhambi na kusudi letu la kuenenda katika upya wa maisha. Hivyo tunamkubali Kristo kuw…
Soma zaidiMeza ya Bwana ni ushirika katika mfano wa mwili na damu ya Yesu kama udhihirisho wa imani katika yeye, Bwana na Mwokozi wetu, katika uzoefu huu wa ushirika Kristo anakuwepo kukutana na kuwa…
Soma zaidiMungu huwakirimia washirki wote wa kanisa lake katika kila kizazi karama za kiroho ambazo kila mshiriki atatumia katika huduma ya upendo kwa ajili ya mema ya kawaida ya kanisa na ya wanadam…
Soma zaidiMojawapo ya karama za Roho Mtakatifu ni unabii. Karama hii ni alama – kitambulishi cha kanisa la masalio na ilidhihirishwa katika huduma ya Ellen G White. Kama mjumbe wa Bwana, maandishi ya…
Soma zaidiKanuni kuu za sheria ya Mungu zimetiwa pamoja katika amri kumi na mfano wake ulidhihirishwa katika maisha ya Kristo. Nazo zinadhihirisha upendo wa Mungu, mapenzi yake, na makusudi yake kuhu…
Soma zaidiMuumbaji mkarimu, baada ya siku sita za uumbaji, alipumzika siku ya saba na kuanzisha Sabato kwa ajili ya watu wote kama kumbukumbu ya uumbaji. Amri ya nne ya sheria za Mungu zisizobadilika…
Soma zaidiSisi tu mawakili wa Mungu, tuliokabidhiwa na yeye wakati na fursa, uwezo, na mali, na mibaraka ya dunia na rasilimali zake. Tunawajibika kwake kwa matumizi yake sahihi. Tunakiri umilikaji w…
Soma zaidiTumeitwa kuwa watauwa wanaofikiri, kujisikia, na kutenda kulingana na kanuni za mbinguni. Ili Roho aumbe upya ndani yetu tabia ya Bwana wetu tunajihusisha tu katika mambo yale ambayo yataza…
Soma zaidiNdoa ilianzishwa na Mungu katika Edeni na ikathibitishwa na Yesu kuwa muungano wa maisha yote kati ya mwanamume na mwanamke katika wenzi wenye upendo. Kwa Mkristo kifungo cha ndoa ni kwa Mu…
Soma zaidiKuna hekalu mbinguni, hema la kweli lililosimamishwa na Bwana na siyo mwanadamu. Ndani yake Kristo anahudumu kwa niaba yetu, akiwezesha kupatikana kwa ajili ya waumini fanaka za kafara yake…
Soma zaidiKuja kwa Kristo mara ya pili ndilo tumaini lenye baraka la kanisa, hitimisho kuu la injili. Kuja kwa Mwokozi kutakuwa halisi, binafsi, kutakakoonekana, na kwa dunia nzima. Atakaporudi, weny…
Soma zaidiMshahara wa dhambi ni mauti. Lakini Mungu, ambaye peke yake hapatwi na mauti, atawapa uzima wa milele waliokombolewa wake. Mpaka siku hiyo mauti ni hali ya kutokuwa na fahamu kwa watu wote.…
Soma zaidiMilenia ni miaka elfu moja ya utawala wa Kristo pamoja na watakatifu wake mbinguni kati ya ufufuo wa kwanza na wa pili. Wakati huo waovu waliokufa watahukumiwa; dunia itakuwa ukiwa na utupu…
Soma zaidiKatika dunia mpya, ambamo haki hukaa, Mungu ataweka tayari makao ya milele kwa waliokombolewa na mazingira makamilifu kwa maisha ya milele, upendo, furaha na kujifunza mbele zake. Kwa kuwa …
Soma zaidiWasiliana na Mbuyuni SDA Church kwa maelezo zaidi, masomo ya Biblia, maombi au ushauri wa kiroho.