Tupo tayari kukusikiliza, kukuombea, kukupa maelekezo ya kufika kanisani, na kukusaidia kupata masomo ya Biblia, afya, familia na maisha ya Kikristo.
P.O.BOX 346, Kizota, Mbuyuni, Dodoma, Tanzania.
mbuyunisda@gmail.com
Tutakujibu mara tu tutakapopokea ujumbe wako.
Jaza fomu hapa chini kwa ajili ya maombi, maelekezo, ushauri wa kiroho, masomo ya Biblia au taarifa nyingine yoyote unayohitaji.
Tafadhali jaza taarifa zako kwa usahihi ili tuweze kuwasiliana nawe kwa urahisi.
Kanisa la Mbuyuni SDA linapatikana Kata ya Kizota, eneo la Mbuyuni, Dodoma. Unaweza kututafuta kupitia taarifa hizi hapa chini.
Ramani hii inakusaidia kupata eneo la Mbuyuni SDA Church. Kama ramani haioneshi moja kwa moja, tumia button ya kufungua Google Maps.
Unahitaji masomo ya Biblia, maombi, ushauri wa kiroho au maelekezo ya kufika kanisani? Tupo tayari kukukaribisha na kukusaidia katika safari ya imani.